Nyota saba wa Simba waliokuwa timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kili Stars' wamerejea mazoezini leo kuendelea na maandalizi ya michezo ya ligi kuu
Wachezaji hao leo walishiriki mazoezi yaliyofanyika dimba la Mo Simba Arena, Bunju




ADVERTISE HERE