Mshambuliaji kinda wa Simba Rashid Juma hajaonekana uwanjani kwa muda sasa akisumbuliwa na majeraha
Kinda huyo aliyepandishwa kutoka timu ya vijana, ameanza mazoezi mepesi
Amekuwa akisumbuliwa na maumivu ya kifundo cha mguu
Kumekuwa na taarifa kuwa Juma ni miongoni mwa wachezaji ambao watatolewa kwa mkopo ili kulinda viwango vyao
ADVERTISE HERE