Simba yakaribia kumnasa winga Mamelodi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Dec 2019
Simba yakaribia kumnasa winga Mamelodi

Simba iko mbioni kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Luis Miquissone

Miquissone alikuwa akiitumikia UD Songo ya Msumbiji kwa mkopo

Inaelezwa usajili wa winga huyo mwenye kasi unasimamiwa na Mtendaji Mkuu wa mabingwa hao wa nchi Senzo Mazingisa

Mazingisa tayari yuko Afrika Kusini kumalizana na Mamelodi ambao wamekubali kumuuza kwa dau linalofikia Tzs Milioni 110

Mchezaji huyo pia amekuwa akihusishwa na Yanga, lakini Simba inaelekea kumnasa baada ya kufikia makubaliano ya dau la usajili na Mamelodi inayommiliki mchezaji huyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
11h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’