Bao lamuongezea mzuka Fraga

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Dec 2019
Bao lamuongezea mzuka Fraga

Kiungo mkata umeme Gerson Santos Fraga amesema bao alilofunga kwenye mchezo wa FA dhidi ya Arusha Fc, limempa ari na nguvu zaidi ya kuipigania klabu yake ya Simba

Fraga alifunga moja ya mabao sita ya Simba katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Uhuru

Hilo lilikuwa bao la kwanza Fraga raia wa Brazil anaifungia Simba kwenye mechi za mashindano

"Nimejisikia furaha baada ya kuifungia timu yangu kwani ni jambo ambalo nilikuwa nikilisubiri kwa hamu," amesema

"Katika mchezo uliopita nilikaribia kufunga, leo nimefunga lakini jambo muhimu zaidi kwa kushirikiana na wachezaji wenzangu tumeipa timu ushindi"

Fraga ni mmoja wa wachezaji watatu raia wa Brazil ambao walisajiliwa na Simba mwezi Juni 2019

Wengine ni beki Tairone Da Silva na mshambuliaji Wilker Da Silva

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’