Arusha Fc kumpa mtihani wa kwanza Vanderbroeck

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Dec 2019
Arusha Fc kumpa mtihani wa kwanza Vanderbroeck

Kocha Mkuu wa Simba Sven Vanderbroeck leo anaanza rasmi kuwaongoza mabingwa hao wa nchi katika mchezo wa kombe la FA (ASFC) ambao utapigwa uwanja wa Uhuru

Ni mchezo ambao bosi huyo wa benchi la ufundi atahitaji ushindi ili kuwapa imani baadhi ya mashabiki ambao wamekuwa na mashaka baada ya uteuzi wake

Aidha kwa upande wa kikosi cha Simba, ushindi katika mchezo huo ni matokeo muhimu hasa ikizingatiwa misimu miwili iliyopita Simba ilishindwa kuvuka raundi hiyo kwa kufungwa na timu za madaraja ya chini

Arusha Fc, timu inayoshiriki ligi daraja la kwanza, iko jijini Dar es salaam kwa takribani siku tatu ikijiandaa na mchezo huo

Kikosi cha Simba kilikamilisha maandalizi yake jana jioni kwenye uwanja wake wa nyasi bandia pale Mo Simba Arena

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’