Kakolanya langoni Simba ikiikabili Arusha Fc Jumapili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Dec 2019
Kakolanya langoni Simba ikiikabili Arusha Fc Jumapili

Mlinda lango namba mbili wa mabingwa wa nchi Simba, Beno Kakolanya anatarajiwa kukaa langoni kesho Jumapili kwenye mchezo wa kombe la FA (ASFC) raundi ya tatu dhidi ya Arusha Fc

Kakolanya atachukua nafasi ya Aishi Manula ambaye alipata majeraha wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' katika michuano ya Chalenji iliyofanyika nchini Uganda

Beno pia huenda akarejea langoni tena kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc ambao utapigwa siku ya Christmass kwenye uwanja wa Uhuru

Aidha ujio wa kocha mpya Sven Vanderbroeck huenda ukampa nafasi zaidi mlinda lango huyo ambaye amekuwa akionyesha uwezo mkubwa kila alipopata nafasi kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’