Kiungo mshambuliaji Nicholas Gyan ambaye aliitumikia Simba kwa misimu miwili, amesajiliwa na klabu ya Aduana Stars ya Ghana
Gyan aliachwa na Simba dirisha la usajili la mwezi Julai na hakuwa na timu katika kipindi cha miezi sita iliyopita
Nyota huyo aliyewahi kuwa mfungaji bora ligi kuu ya Ghana, alishindwa kutamba katika kikosi cha Simba ambapo kutokana na ushindani wa namba, mara nyingi alitumika kama mlinzi wa kulia
Amesajiliwa Aduana kwa mkataba wa miaka mitatu
ADVERTISE HERE