Simba Queens yaanza kwa ushindi Mo Simba Arena

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Dec 2019
Simba Queens yaanza kwa ushindi Mo Simba Arena

Kikosi cha timu ya Wanawake Simba Queens leo kimezindua rasmi matumizi ya uwanja wa Mo Simba ARena kwa ajili ya mechi za ushindani walipowakaribisha Marsh Queens kwenye mchezo wa ligi kuu ya Wanawake Serengeti Lite

Wakinadada hao wa Simba Queens wanaonolewa na kocha Mussa Hassan Mgosi wameibuka na ushindi wa mabao 3-0

Ni matokeo ambayo yamewapeleka kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Wanawake baada ya kufikisha alama 13

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’