Hatutawadharau Arusha Fc - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Dec 2019
Hatutawadharau Arusha Fc - Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema wanauchukulia kwa uzito mkubwa mchezo wa raundi ya tatu kombe la FA dhidi ya Arusha Fc

Keshokutwa Jumapili Disemba 22 mabingwa wa nchi Simba watakabiliana na AFC katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Uhuru

Manara amesema kutokana na uzoefu waliopata kwa kutolewa hatua ya awali kwenye misimu miwili iliyopita, hawapaswi kuwadharau AFC

"Tunacheza na AFC ambayo sio timu ya ligi kuu lakini hatupaswi kuwadharau," amesema

"Sote tunafahamu kilichotokea misimu miwili iliyopita, tulitolewa hatua ya awali hivyo hatutarudia makosa kwenye mchezo wa Jumapili"

"Michuano hii ya FA tumeichukulia uzito mkubwa kama ilivyo ligi kuu kwani tunahitaji kushinda taji hili"

Mchezo huo utakuwa wa kwanza kwa kocha mkuu wa Simba Sven Vanderbroeck ambaye amejiunga na mabingwa hao wa Tanzania Bara wiki iliyopita

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
11m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’