Senzo afunguka usajili Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Dec 2019
Senzo afunguka usajili Simba

Wakati wengine wakitamba kufanya usajili kila kukicha, mabingwa wa nchi Simba wao wanaendelea na mazoezi kujiandaa na mechi za FA na Ligi

Mtendaji wa Simba Senzo Mazingisa amesema wao hawatafanya usajili kwa fujo kama wanavyofanya wengine kwa kuwa timu haina mapungufu makubwa

Aidha amesema wamempa nafasi kocha Sven Vanderbroeck kukiangalia kikosi chake kisha kupendekeza usajili huo

Ameeleza kuwa Simba ina malengo makubwa pengine kuliko wengine hivyo usajili wao utalenga kuimarisha tu baadhi ya maeneo ambayo yataonekana kuwa na upungufu

 

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’