Simba yajifua kuiwinda Azam FC

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Jan 2018
Simba yajifua kuiwinda Azam FC
Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi katika viwanja vya chuo kikuu cha Zanzibar kujiandaa na mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya Azam FC kesho Jumamosi.

Simba itakabiliana na Azam FC katika mchezo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkali kutokana na ubora wa timu zote.

Azam inaongoza kundi A kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kujikusanyia alama sita kabla ya michezo ya leo ambapo Azam Fc imeshuka dimbani kumenyana na URA.

Simba imejikusanyia alama nne baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Jamhuri jana.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’