Basi la klabu ya Simba limepigwa rangi upya kwendana na taswira ya mabadiliko yanayofanywa na mabingwa hao wa nchi
Pamoja na kampuni ya Sportpesa kuendelea kuchukua nafasi kubwa kulipendezesha basi hiyo, wadhamini wengine wa Simba nao wamejumuishwa katika muonekano huo mpya
Umekuwa ni utaratibu kwa Sportpesa kubadili muonekano wa basi hilo kila mwaka katika kipindi chote cha udhamini wao
ADVERTISE HERE