Simba yahamia ofisi mpya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Dec 2019
Simba yahamia ofisi mpya

Klabu ya Simba imehamishia shughuli zake za kiofisi Jengo la Diamond Plaza, ghorofa ya pili lililopo Makutano ya Mtaa wa Mirambo na Samora jijini Dar es salaam

Shughuli zote zinazoihusu klabu ya Simba zitafanyika katika ofisi hiyo mpya ambayo itakuwa chini ya Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa

Hata hivyo shughuli zote kuhusu mashabiki na Wanachama zitaendelea kufanyika Msimbazi ambako pia lipo duka la klabu

Ofisi za benchi la ufundi zitakuwa Mo Simba Arena, ujenzi wake utaanza katika awamu ya pili ya Ujenzi itakayoanza hivi karibuni huko Bunju

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’