Kwa wiki kadhaa beki wa Coastal Union na timu ya Taifa Bakari Nondo Mwamnyeto amekuwa akihusishwa kutua klabu ya Yanga
Hata hivyo beki huyo huenda akaibukia Msimbazi baada ya mabingwa hao wa nchi kuingia na 'kisu kikali'
Inaelezwa klabu ya Coastal Union imemuweka sokoni Mwamnyeto kwa dau la Tsh Milioni 50
Simba imekubali kulipa kiasi hicho cha fedha kuipata sahihi ya Mwamnyeto mwenye umri wa miaka 22
Beki huyo anatarajiwa kuwa mbadala wa Paschal Wawa ambaye inaelezwa hatakuwa sehemu ya kikosi cha Simba msimu ujao
ADVERTISE HERE