Kagere auguliwa na mama Rwanda, aruhusiwa kwenda kumuona

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Dec 2019
Kagere auguliwa na mama Rwanda, aruhusiwa kwenda kumuona

Mshambuliaji kinara wa mabao kikosi  cha Simba Meddie Kagere amepewa ruhusa kwenda kwao Rwanda kumjulia hali mama yake ambaye ni mgonjwa

Mshambuliaji huyo atarejea kwa wakati kuuwahi mchezo wa raundi ya tatu kombe la FA dhidi ya Arusha Fc

Mchezo huo utapigwa Jumapili, Disemba 22 kwenye uwanja wa Uhuru

Kagere ndiye kinara wa mabao kwenye ligi, akiwa na mabao nane

Mshambuliaji huyo raia wa Rwanda ni kama amezaliwa upya chini ya benchi jipya la ufundi linaloongozwa na kocha Sven Vanderbroeck anayesaidiwa na Selemani Matola

Kwani amekuwa na takwimu za kutisha za ufungaji kwenye mazoezi ya vinara hao wa ligi kuu ambayo yanafanyika katika uwanja wao wa Mo Simba Arena ulioko Bunju, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’