Uongozi wa klabu ya Simba umewakumbusha mashabiki wake kuwa bado kadi kwa ajili yao zinaendelea kutolewa viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam
Kadi hizo zinapatikana kwenye banda la benki ya Equity kwa gharama ya Tsh 22,000/- tu
Kwa wale wa mikoani wasubiri muongozo kutoka kwa benki ya Equity pamoja na uongozi wa klabu ya Simba
ADVERTISE HERE