Simba kumrudisha Kichuya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Dec 2019
Simba kumrudisha Kichuya

Uongozi wa klabu ya Simba huenda ukamrudisha kiungo wake mshambuliaji Shiza Kichuya ambaye aliuzwa mapema mwaka huu

Kichuya alisajiliwa na klabu ya Pharco Fc ya nchini Misri. Hata hivyo timu hiyo imekuwa ikimtoa kwa mkopo

Taarifa za uhakika ni kuwa jitihada zinafanyika ili ikiwezekana Kichuya arejee usajili huu wa dirisha dogo ambalo lilifunguliwa jana Disemba 16

Kichuya alin'gara kwenye kikosi cha Simba misimu ya 2016/17 na 2017/18 akiwa amesajiliwa na mabingwa hao wa nchi akitokea Mtibwa Sugar

Hata hivyo msimu uliopita haukuwa mzuri kwake. Ni miongoni mwa wachezaji walioathirika na ujio wa kocha Patrick Aussems kwani alimpa nafasi mara chache kwenye kikosi cha kwanza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
23h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’