Majanga yameendelea kumuandama beki wa zamani wa klabu ya Simba Juuko Murshid baada ya Wydad Athletic kuvunja mkataba wake
Juuko alijiunga na timu hiyo mwanzoni mwa msimu baada ya makubaliano kufikiwa kati ya Simba na Wydad
Hata hivyo beki huyo tangu asajiliwe na miamba hao wa soka nchini Morocco, hakuwai kupata nafasi kwenye kikosi cha kwanza
Juuko aliondoka Simba akiwa bado na mkataba wa miezi mitatu, lakini uongozi wa Simba ulitoa ruhusa asajiliwe na Wydad
Pamoja na kuwa mlinzi mahiri, Juuko amekuwa akikwamishwa na nidhamu yake
ADVERTISE HERE