Kili Stars kazi moja dhidi ya Uganda Cranes leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Dec 2019
Kili Stars kazi moja dhidi ya Uganda Cranes leo

Michezo ya hatua ya nusu fainali michuano ya CECAFA Chalenji 2019 inapigwa leo huko Uganda

Mchezo wa mapema utakuwa kati ya Kenya dhidi ya Eritrea na kisha kufuatiwa na mchezo unaosubiriwa kwa hamu kati ya wenyeji Uganda Cranes dhidi ya timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars'

Mchezo huo utapigwa saa 9:45 jioni

Baada ya kukosa taji la Chalenji kwa takribani miaka tisa, hii ni nafasi adimu kwa Kili Stars kuusogelea ubingwa kama wataibuka na ushindi na kutinga fainali

Kocha Mkuu wa Kili Stars Juma Mgunda amesema wanafahamu mchezo huo dhidi ya wenyeji hautakuwa mwepesi lakini wamejipanga kuhakikisha wanapata ushindi

Mgunda amesema atakifanyia kikosi chake mabadiliko madogo ili kwendana na mahitaji ya mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
12h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
15h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
21h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’