Kocha Mkuu wa Simba Sven Van Der Broeck leo ameanza rasmi majukumu ya kukinoa kikosi hicho cha mabingwa wa soka Tanzania Bara
Sven amesimamia mazoezi hayo ya mabingwa wa nchi yaliyofanyika uwanja wa Mo Simba Arena Bunju jijini Dar es salaam
Ameshirikiana na kocha msaidizi, Selemani Matola



ADVERTISE HERE