Baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi ya Yanga Princess, wachezaji wa Simba Queens wameoga 'manoti'
Kundi la wadau wa Simba HQ liliwatuza fedha kila mchezaji kufuatia ushindi huo


Ushindi wa jana umeipandishaSimba Queens mpaka nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi kuu ya Wanawake 'Serengeti Lite' baada ya kufikisha alama 10

ADVERTISE HERE