Manula kufunga ndoa Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
•
5 Jan 2018
Manula kufunga ndoa Jumamosi
Huku michuano ya Kombe la Mapinduzi ikiendelea kisiwani Zanzibar, kipa namba moja wa Simba, Aishi Manula hayupo katika kikosi hicho na anatarajiwa kufunga ndoa kesho Jumamosi.

Wakati Manula kifunga ndoa, timu yake itakuwa uwanjani kesho kuvaana na Azam FC kwenye michuano hiyo ikiwa ni mchezo wa makundi ambapo wote wapo Kundi A.

Kipa huyo alisema amefanya taratibu zote za kuomba ruhusa ili afanye namna ya kulimaliza suala hilo muhimu.

“Ni kweli sipo Zanzibar na timu kwa sababu nina ruhusa, Jumamosi ninatarajia kufunga ndoa ndiyo maana nimeshindwa kuungana na wenzangu kwa sasa kutokana na shughuli hiyo.

“Nawatakia kila la kheri wapambane na kufanya vyema, sijafahamu ni lini nitaweza kuungana na timu,” alisema Manula.

Manula ataungana na kikosi cha Simba kama itafanikiwa kutinga hatua ya nusu fainali na fainali.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE →
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE →
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE →
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE →
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE →
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE →
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE →
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE →
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE →