Mechi nne za kumpima kocha mpya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Dec 2019
Mechi nne za kumpima kocha mpya Simba

Kocha Mkuu wa Simba Sven van der Broeck leo ameanza majukumu ya kukinoa kikosi chake kuelekea michezo ya ligi pamoja na kombe la FA

Kocha huyo raia wa Ubelgiji akishirikiana na kocha mzawa Selemani Matola, watakuwa na takribani wiki moja kukiandaa kikosi chao tayari kwa mchezo wa kombe la FA dhidi ya Arusha Fc

Simba inatarajiwa kushuka dimbani mara nne kabla ya mchezo dhidi ya Yanga ambao utapiwa January 04 2020

Van Der Broeck ataiongoza Simba kwenye mchezo wake wa kwanza ambao ni wa kombe la FA (ASFC) dhidi ya Arusha Fc

Mchezo huo utapigwa Disemba 22 uwanja wa Uhuru

Disemba 25 atarejea tena dimba la Uhuru kuiongoza Simba safari hii ukiwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Lipuli Fc

Michezo mingine ya ligi itapigwa Disemba 28 dhidi ya KMC na Disemba 31 dhidi ya Ndanda Fc

Baada ya michezo hii, mtanange wa watani wa jadi ndio utakaofungua mwaka 2020

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
13h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’