Kocha Mkuu wa Simba Sven vanDerBroeck atahudhuria hafla ya uzinduzi wa kadi ya mashabiki wa Simba ambao utafanyika viwanja vya Sabasaba jijini Dar es salaam
Pamoja nae, Mbelgiji huyo ataongozana na wachezaji wote wa klabu ya Simba
Uongozi wa klabu ya Simba umetaja muda wa kuanza hafla hiyo kuwa ni saa mbili asubuhi
"Wanasimba wote mnakaribishwa kwenye tukio hili muhimu kwa klabu yetu"

ADVERTISE HERE