Simba Queens vs Yanga Princess kupigwa uwanja wa Karume kesho

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
13 Dec 2019
Simba Queens vs Yanga Princess kupigwa uwanja wa Karume kesho

Simba Queens kesho Jumamosi, Disemba 14 itashuka kwenye uwanja wa Karume kumenyana na watani zao wa jadi Yanga Princess ukiwa ni mchezo wa ligi kuu ya Wanawake maarufu Serengeti Lite

Simba Queens inayoshika nafasi ya tatu, imepania kuendeleza ubabe dhidi ya wapinzani wao hao

Msimu uliopita, Simba Queens waliishushia Yanga Princess kipigo cha mabao 7-0 katika mchezo wa duru ya kwanza wa ligi hiyo

Aidha ushindi wa bao 1-0 ambao Simba Queens walipata dhidi ya JKT Queens mwishoni mwa wiki iliyopita, umeongeza morali ya wachezaji kuelekea mchezo huo

JKT Queens wanafahamika kama ndio wababe wa soka la wanawake nchini msimu uliopita wakitwaa ubingwa huku wakishinda michezo yote msimu mzima

Hata hivyo msimu huu Simba Queens wamewaadhibu mapema tu kwenye mchezo wa raundi ya tatu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’