Pichani kocha mkuu wa Simba Sven Vanderbroeck akiwa pamoja na kocha msaidizi Selemani Matola
Wawili hao leo wanaanza rasmi kazi ya kukisuka kikosi cha Simba, mabingwa watetezi ligi kuu ya Vodacom
Ni safari ya kutetea ubingwa kwa msimu wa tatu mfululizo ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki ligi ya mabingwa barani Afrika msimu ujao
ADVERTISE HERE