Habari njema kwa Wanamsimbazi, kitambulisho cha Taifa na Mpiga kura vitatumika kuomba KADI YA MASHABIKI. Gharama ya kadi ni Tsh. 22,000
Awali kulikuwa na hofu kuwa wale ambao bado hawajapata vitambulisho vya Taifa wangeshindwa kupata kadi hizo
Aidha namba ya Kitambulisho cha Taifa inaweza kutumika pia
ADVERTISE HERE