Leo mabingwa wa nchi Simba wameanza kuonja matunda ya uwekezaji wa kuanza kufanya mazoezi katika moja ya viwanja vyake ndani ya Mo Simba Arena
Mazoezi ya kwanza leo yemefanyika katika uwanja wa nyasi za asili na yamesimamiwa na kocha msaidizi, Selemani Matola












ADVERTISE HERE