Wachezaji Simba wasubiri kocha mpya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Dec 2019
Wachezaji Simba wasubiri kocha mpya

Kikosi cha Simba kinafanya mazoezi ya Gym wakisubiri ujio wa kocha mpya ambaye atawekwa hadharani kabla ya Ijumaa ya wiki hii

Meneja wa mabingwa hao wa Tanzania Bara Patrick Rweyemamu amesema kwa sasa hawana program maalum ya mazoezi wakisubiri ujio wa kocha huyo

Denis Kitambi ambaye alikabidhiwa majukumu ya kuinoa Simba baada ya Aussems kutimuliwa, nae ameondoka kuhudhuria mafunzo ya UEFA

Bado Simba haijamtangaza kocha msaidizi Selemani Matola na pengine watamuweka hadharani siku ya kumtangaza kocha mkuu

Simba inakabiliwa na mechi mbili za kufunga mwaka, ambapo kati ya Disemba 22-28 itacheza na Arusha United, mchezo wa raundi ya tatu kombe la FA

Disemba 30 itaumana na Ndanda Fc ukiwa ni mchezo wa ligi kuu

Mabingwa hao wa nchi watauanza mwaka 2020 kwa kuumana na watani zao Yanga katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa Januari 04

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’