Mo aahidi Milioni 100 Kilimanjaro Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Dec 2019
Mo aahidi Milioni 100 Kilimanjaro Stars

Mfanyabiashara na Mwekezaji klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' ameahidi kutoa kitita cha Tsh Milioni 100 kwa timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kili Stars' kama itatwaa michuano ya Chalenji inayoendelea nchini Uganda

Mo pia ameahidi ahadi ya Pikipiki za Mo Boxer kwa wachezaji wote na benchi la ufundi

Mapema leo Mo alitembelea Kambi ya timu ya Tanzania Bara “Kilimanjaro Stars” kuelekea mchezo wa kesho Cecafa Challenge dhidi ya Zanzibar utakaochezwa Uwanja wa KCCA,Uganda saa 10 jioni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’