Aussems amtabiria makubwa Miraji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Dec 2019
Aussems amtabiria makubwa Miraji

Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amemtaja Miraji Athumani kama mmoja wa washambuliaji ambao wamafanikio makubwa pengine kumfikia Mbwana Samatta anayecheza ligi kuu ya Ubelgiji

Aussems amesema Miraji ni mchezaji mwenye kipaji, anajituma na siku zote amekuwa mwepesi kujifunza

"Miraji ni mchezaji mzuri, anafanya  mambo makubwa na anaweza kufanikiwa zaidi kama ataendeleza kasi aliyonayo," amesema

"Ni mchezaji ambaye anaweza kucheza soka barani Ulaya lakini bado anahitaji kuboreshwa zaidi, hilo ni jukumu la makocha kumuendeleza"

Pamoja na kumsifia mshambuliaji huyo, Aussems hakuwa akimpa muda mwingi wa kucheza lakini alitumia muda huo mchache aliopewa kusababisha madhara kwa timu pinzani

Miraji amefunga mabao sita Ligi Kuu ya Tanzania Bara msimu huu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
19h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’