Kocha Mpya Simba hadharani wiki hii

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Dec 2019
Kocha Mpya Simba hadharani wiki hii

Klabu ya Simba tayari imekamilisha mchakato wa kupata kocha mpya ambapo jina la kocha huyo litawekwa hadharani wiki ijayo

Akizungumza kwenye Mkutano wa mwaka wa Wanachama wa klabu ya Simba mapema leo, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya klabu hiyo Mohammed Dewji 'Mo' amesema wamepata kocha mwenye vigezo vya kuifundisha Simba

"Wiki hii, tunaleta kocha mpya, kocha mwenye kiwango kinachostahili kufundisha mabingwa wa nchi hii. Sasa tunaleta kifaa. Mtatangaziwa rasmi, ni nani, na anatoka nchi gani," amesema Mo

Kocha huyo Mkuu atasaidiana na Selemani Matola aliyekuwa kocha wa Polisi Tanzania

Matola tayari amemalizana na uongozi wa Simba kinachosubiriwa ni utambulisho tu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
1h ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
1h ago
READ MORE β†’
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
4h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
6h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
1d ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1d ago
READ MORE β†’