Mwanachama mmoja wa klabu ya Simba amejikuta katika wakati mgumu baada kuvaa fulana yenye rangi ya njano ndani ya ukumbi wa Mwalimu Julius Nyerere (JICC) katika Mkutano Mkuu wa Mwaka unao endelea.
Sintofahamu hiyo ilimalizwa na Mwanachama mwingine aliyejitolea kumpatia jezi ya klabu ya Simba
Wengi wameshangazwa na Mwanachama huyo kuvaa njano wakati akifahamu rangi hiyo isingekubalika ndani ya Mkutano huo
ADVERTISE HERE