Mo atinga Mkutano Mkuu Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Dec 2019
Mo atinga Mkutano Mkuu Simba

Mwekezaji wa klabu ya Simba Mohammed Dewji 'Mo' ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi leo atashiriki Mkutano Mkuu wa Wanachama wa klabu hiyo ambao unafanyika ukumbi wa wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Mo amekuwa chachu ya mafanikio ya klabu ya Simba. Ni heshima kubwa kwake kushiriki Mkutano huu wa Wanachama ambao utajadili na kupitisha masuala mbalimbali kwa ajili ya mustakabali wa maendeleo ya klabu ya Simba

Mgeni rasmi wa Mkutano huo ni Naibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Ackson Tulia

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’