Uhakiki wa Wanachama kuelekea Mkutano Mkuu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Dec 2019
Uhakiki wa Wanachama kuelekea Mkutano Mkuu

Leo ni siku muhimu kwa Wanachama wa klabu ya Simba ambapo Mkutano Mkuu wa mwaka unafanyika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Zoezi la uhakiki wa Wanachama linafanyika mwanzo kabla ya kuanza Mkutano huo

Aidha kwa Wanachama ambao hawajalipia ada wanaweza kulipia hapohapo na kuweza kushiriki Mkutano huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’