Leo ilikuwa siku ya furaha kwa mashabiki wa Simba baada ya kushudia uwanja wa timu yao huko Bunju
Baada ya kukamilika kwa hafla maalum iliyoandaliwa na uongozi, mashabiki waliruhusiwa kuingia uwanjani kupata picha na kumbukumbu za tukio lililofanyika leo





ADVERTISE HERE