Simba yaichapa Dodoma FC 1-0

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Oct 2017
Simba yaichapa Dodoma FC 1-0
Wekundu wa Msimbazi Simba wakiwa njiani kurejea jijini Dar es salaam kutoka kanda ya ziwa, leo wamecheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Dodoma FC mkoani Dodoma.

Mchezo huo umemalizika kwa Simba kuibuka na ushindi wa bao 1-0 bao pekee likifungwa na Said Ndemla kwenye dakika ya 72.

Dodoma FC inanolewa na Jamhuri Kiwhelo 'Julio' na inashiriki ligi daraja la kwanza ikisaka moja ya tiketi sita za kupanda ligi kuu msimu ujao.

Kikosi cha Simba SC kilikuwa; Emmanuel Mseja, Ally Shomary, Mohammed Hussein 'Tshabalala', Yussuf Mlipili, Juuko Murshid, Jonas Mkude, Mohammed 'Mo' Ibrahim, Said Ndemla, Laudit Mavugo, Juma Liuzio na Jamal Mnyate.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
49m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’