Uwanja utatuongezea mzuka - Bocco

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Dec 2019
Uwanja utatuongezea mzuka - Bocco

Nahodha wa Simba John Bocco amesema kukamilika kwa uwanja wa mazoezi Bunju kutawaongezea wachezaji chachu ya kupamba na kuhakikisha wanafanya vizuri

Akizungumza kwa niaba ya wachezaji kwenye hafla maalum iliyofanyika Bunju, Bocco amesema wanaunga mkono juhudi zilizofanywa na viongozi wa Simba

"Tunashukuru kwa viwanja hivi, vitatuongezea nguvu kuhakikisha tunashinda," amesema

"Nawashukuru viongozi pamoja na mwekezaji, najua wamepitia vikwazo vingi lakini wameweza kufikia hii hatua"

"Nawashukuru mashabiki wetu kwa kujitokeza kwenye eneo hili, viwanjani au tukisafiri mikoani. Nawashukuru sana, nawaomba muendelee kuwa na upendo kwa wachezaji na viongozi"

Nae kinara wa mabao wa kikosi cha Simba Meddie Kagere alipata nafasi ya kusema neno kwenye hafla hiyo ambapo aliwashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi kwenye tukio hilo

"Nawashukuru mashabiki wetu kwa kuja kwenye uwanja wetu mpya. Asanteni wote"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’