Dalali amshukuru Mo kwa kukamilisha ahadi ya uwanja

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
7 Dec 2019
Dalali amshukuru Mo kwa kukamilisha ahadi ya uwanja

Mwenyekiti wa zamani wa klabu ya Simba Hassan Dalali amemshukuru Mwekezaji na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Mohammed Dewji 'Mo' kwa kufanikisha kujenga uwanja wa klabu hiyo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam

Dalali ambaye ni mmoja waliofanikisha kupatikana kwa eneo lililojengwa uwanja huo, amesema Mo ameonyesha njia hivyo anapaswa kuungwa mkono na kila Mwanasimba

"Kwanza namshukuru Mwenyekiti wa Bodi kwa kututengezea uwanja," alisema

"Inahitaji moyo sana kufanya kazi ya kujitolea hata sisi miaka ya nyuma tulijenga majengo kwa kujitolea kwa kubeba matofali kichwani na yeye sasa anaendeleza hilo"

"Tunampongeza, tupo nyuma yake kumuunga mkono”

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
56m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’