Historia inakwenda kuandikwa Bunju Jumamosi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Dec 2019
Historia inakwenda kuandikwa Bunju Jumamosi

Viongozi na Wanachama wa klabu ya Simba kesho Jumamosi watakuwa Bunju kujionea maendeleo ya ujenzi wa viwanja vya mazoezi vinavyomilikiwa na klabu ya Simba

Wanasimba wa jijini Dar es salaam na maeneo ya jirani wameaswa kujitokeza kwa wingi Bunju kujionea wenyewe jinsi mabingwa hao wa nchi wanavyokwenda kuandika Historia ya kumiliki viwanja vyake baada ya kusubiri kwa zaidi ya miaka 80

Maandalizi kwa ajili ya shughuli hiyo yamekamilika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’