Wanachama Simba waalikwa Mkutano Mkuu Disemba 08

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Dec 2019
Wanachama Simba waalikwa Mkutano Mkuu Disemba 08

Wanachama wa klabu ya Simba wamealikwa kwenye Mkutano Mkuu wa mwaka wa klabu hiyo ambao utafanyika keshokutwa Jumapili Disemba 08 2019 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es salaam

Mkutano huo unatarajiwa kuanza saa mbili asubuhi ambapo Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka Wanachama kufika mapema ili kukamilisha mchakato wa kujiandikisha

Aidha kwa wale ambao bado hawajalipia ada zao za mwaka wameaswa kufika mapema kwani kutakuwa na Mawakala wa benki ya NMB ambao watasimamia kupokea malipo ya ada za Wanachama kabla ya kuruhusiwa kushiriki Mkutano huo

Miongoni mwa ajenda za Mkutano huo ni pamoja na kuwasilishwa kwa ripoti ya mapato na matumizi ya klabu kwa mwaka uliopita

Pia itasomwa taarifa ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali ya maendeleo ya klabu ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
7h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
13h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
16h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’