Simba yabadili tarehe ya uzinduzi Bunju

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
6 Dec 2019
Simba yabadili tarehe ya uzinduzi Bunju

Uongozi wa klabu ya Simba umesema kesho Jumamosi, Disemba 07 utafanya tukio la kuwaonyesha wanachama na mashabiki wake ujenzi wa viwanja vya klabu hiyo Bunju nje kidogo ya jiji la Dar es salaam maarufu Bunju Complex

Mkurugenzi wa Wanachama na Mashabiki wa Simba Hashim Mbaga amesema siku hiyo wataitumia kuwaonyesha Wanachama na Mashabiki wa Simba uwanja huo ambao kila mmoja atapata fursa ya kuangalia maendeleo ya Simba

"Hatuendi kufanya uzinduzi, tunakwenda kutembelea kwa maana tunakwenda kuwaonyesha wenye uwanja wao, Wanasimba wote eneo lao jinsi lilivyokuwa sasa hivi," amesema

"Tunatarajia ujenzi ukishakamilika timu itaanza kufanya mazoezi ya majaribio kwenye uwanja kabla ya uzinduzi rasmi mwakani"

"Uzinduzi tunaufanya mwakani kwa sababu tunataka tufanye kitu kikubwa. Kwamba baada ya Wanachama wote kuuona uwanja wao, tunapokuja kwenye uzinduzi tunaanza rasmi kuchangia awamu ya pili kila mmoja"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
1h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’