Bocco kuiwahi Yanga January 04

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Dec 2019
Bocco kuiwahi Yanga January 04

Tangu arejee kutoka Afrika Kusini, nahodha wa Simba John Bocco amekuwa akijifua kikamilifu na wachezaji wengine

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema Bocco anaendelea vizuri, amekuwa akifanya mazoezi bila matatizo

"Bocco amerejea nchini anafanya  mazoezi na wenzake. Majibu ya Afrika Kusini baada ya kufanyiwa vipimo ni kwamba anaendelelea vizuri."

"Ikiwa mchezaji anafanya mazoezi na wenzake maana yake yupo fiti hivyo ni suala la kusubiri kuona itakuaje," amesema.

Upo uwezekano Bocco atakuwa tayari kuwakabili watani wa jadi Yanga kwenye mchezo wa kwanza wa ligi kuu ambao utapigwa January 04 2020 uwanja wa Taifa

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’