Kikosi cha wachezaji 22 Kilimanjaro Stars

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Dec 2019
Kikosi cha wachezaji 22 Kilimanjaro Stars

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' Juma Mgunda amefanya mchujo kupata wachezaji 22 ambao watasafiri leo kuelekea nchini Uganda kushiriki michuano ya CECAFA Challenge Cup inayoanza keshokutwa Jumamosi jiji la Kampala

Nyota wote wa Simba walioitwa kwenye kikosi cha awali, wamejumuishwa katika kikosi hicho ambacho kitaondoka baadae leo kwenda Uganda

Aishi Manula, Gadiel Michael,Mohammed Hussein, Jonas Mkude, Mzamiru Yassin, Hassan Dilunga na Miraji Athumani wote wako kwenye kikosi hicho

Hiki hapa kikosi kamili;

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’