Kili Stars kwenda Uganda leo, kuanza na Kenya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Dec 2019
Kili Stars kwenda Uganda leo, kuanza na Kenya

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania Bara 'Kilimanjaro Stars' kinaondoka leo kwenda Uganda kushiriki michuano ya CECAFA Senior Challenge inayoanza keshokutwa Jumamosi, Disemba 07 jijini Kampala

Aidha baada ya baadhi ya nchi kujitoa CECAFA imefanya mabadiliko ya makundi ambapo Kili Stars na Zanzibar Heroes zitakuwa kundi B

Kilimanjaro itaanza michuano hiyo kwa kuchuana na Kenya katika mchezo ambao utapigwa siku ya Jumapili Disemba 08

Mchezo dhidi ya Zanzibar utapigwa Disemba 10

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
56m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
2h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
18h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’