Aliyekuwa kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems ameondoka nchini baada ya kumalizana na mabingwa hao wa Tanzania Bara
Katika ujumbe wake wa shukrani, Aussems ameeleza kufarijika na sapoti aliyopata kutoka kwa mashabiki pamoja na ushirikiano mzuri aliopata kutoka kwa wachezaji
Aussems amemshukuru Mo kwa kumleta nchini kuifundisha klabu ya Simba lakini ameacha ujumbe mzito
Aussems ameutaka uongozi wa Simba uiangalie Bodi ya klabu hiyo
"Ili Simba ikue, inapaswa kuwaondoa watu waongo na wasio na elimu kwenye Bodi ya Wakurugenzi"
"Asanteni mashabiki wa Simba, nawatakia kila la kheri.. sasa ni muda wa kufurahi na familia yangu, kwaheri Tanzania"

ADVERTISE HERE