Kikosi cha Simba cha timu ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (Simba U17) kinashiriki ligi ya TFF U17 ambapo leo kitashuka uwanja wa Karume kumenyana na Friends Rangers

Msimu huu TFF imeanzisha ligi ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 ikiwa katika jitihada ya kukuza soka la vijana
Pamoja na timu yake ya wakubwa, Simba ina vikosi vya U14, U17 na U20
ADVERTISE HERE