Mwenge yaikomalia Simba kombe la Mapinduzi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Jan 2018
Mwenge yaikomalia Simba kombe la Mapinduzi
Mchezo wa kwanza wa Simba katika michuano ya kombe la Mapinduzi dhidi ya Mwenge umemalizika kwa sare ya bao 1-1.

Mchezo huo uliopigwa Jumanne jioni katika dimba la Amani uliishuhudia Simba ikitawala kwa muda mwingi lakini ikishindwa kuzitumia vyema nafasi nyingi ilizotengeneza.

Jamal Mwambeleko aliyetumika kama winga leo alifunga bao pekee la Simba katika kipindi cha kwanza huku Hammod akiisawazishia Mwenge.

Kocha Masudi Djuma ameamua kuitumia michuano hii kuwapa nafasi wachezaji ambao wanakosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’