Aussems athibitisha, amefutwa kazi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Nov 2019
Aussems athibitisha, amefutwa kazi Simba

Kocha Mkuu wa klabu ya Simba Patrick Aussems amethibitisha kuwa Bodi ya Wakurugenzi imemfuta kazi

Aussems amesema ametaarifiwa na Mtendaji Mkuu Senzo Mazingisa kuwa ajira yake na klabu ya Simba imesitishwa

Kulikuwa na tetesi tangu jana kuwa Aussems angekabidhiwa barua ya kufutwa kazi na uongozi wa Simba leo

Hata hivyo bado uongozi wa Simba haujatoa taarifa rasmi kuhusu uamuzi huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
3h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
21h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’