Kitambi kuhudhuria mafunzo ya UEFA

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Nov 2019
Kitambi kuhudhuria mafunzo ya UEFA

Kocha Msaidizi wa Simba Denis Kitambi anatarajiwa kuhudhuria mafunzo maalum ya ukufunzi wa makocha yanayosimamiwa na UEFA

Mafunzo hayo yatafanyika nchini kuanzia Jumatatu, Disemba 02 hadi Disemba 10

Ni wazi katika muda huo kama uongozi wa Simba utakuwa haujamaliza sintofahamu inayomkabili kocha wake Mkuu Patrick Aussems, huenda timu ikakabidhiwa kwa Mussa Hassan Mgosi kwani Adel Zrane anayesaidiana Kitambi kuinoa Simba, ameomba ruhusa ya siku 10 kushughulikia matatizo binafsi

Uongozi wa Simba unapaswa kumaliza haraka changamoto za benchi la ufundi ili kuondoa sintofahamu iliyopo

Ikumbukwe mchezo utakaofuata ni dhidi ya Yanga, January 04 2020

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’